Harmonize aiokoa Ndanda SC baada ya kukwama Singida kisa pesa za hotel at October 11, 2018 Msanii wa bongo fleva Harmonize ambaye pia ni shabiki mkubwa wa timu ya Ndanda SC, ametoa shilingi milioni 3.5 kwaajili ya kuisaidia timu h...